Sunday, February 18, 2018

Nauli Mpya za DalaDala / Mabasi yaendayo Mikoani 2013

 

 icon Press Reliese Nauli 2013 (58.28 kB)

 icon Nauli Mpya DalaDala 2013 (158.47 kB)

icon Nauli Mpya Mikoani 2013 (1.17 MB)

 icon Fares- Dar es Salaam to Various Towns 04.04.2013 (1.13 MB)

 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 

 

MAPITIO YA VIWANGO VYA NAULI ZA MABASI YA MASAFA MAREFU NA DALADALA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM

 

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imekamilisha mchakato na kuridhia viwango vipya vya nauli kwa ajili ya usafiri wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam na usafiri wa masafa marefu. Viwango hivi vipya vimefikiwa baada ya kufuata taratibu za kisheria na za kiutendaji ambazo SUMATRA kama mdhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara inapaswa kuzifuata kabla ya kuridhia viwango hivyo. Viwango vipya vya nauli vitaanza kutumika kuanzia tarehe 12 Aprili, 2013.

 

Habari Kamili  - Soma Hapa - icon Press Reliese Nauli 2013 (58.28 kB)