Friday, December 13, 2019

Sasa Waweza Kupata Viwango vya Nauli za Mabasi kwa Ujumbe Mfupi wa Simu Yako

Kujua viwango vya nauli ya mabasi kutoka kituo moja kwenda kingine:

 

Tuma ujumbe mfupi wa maandishi kama ifuatavyo:

Andika neno: Nauli, acha nafasi, Mahali unapoanzia safari, acha nafasi, Mahali unapoishia, kisha tuma ujumbe huu kwenda namba 15276

Mfano: Nauli Tanga Mwanza